Yaan i like this, baba na watoto wake wanakula mazoezi na PJ zao, na huyu wa mwisho na pamper yake ahhh, hataki kupitwa kwa kweli, la muhim ni tiz kuweka mwili fit, saaaaafiii, yaan watoto wanazid kukupenda na unakuwa their close friend
how sweet, i like t, haya wababa kesho weekend muanze jaman, hata dakika 10 tu, zatosha nakwambia, na mta'enjoyyyyzzzz
HAVE FUN
No comments:
Post a Comment