welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, August 30, 2011

Eid Mubarak


      .......nawatakia heri ya sikukuu ya Eid pipozzzz


                    EID MUBARAK

hivi hapa ni huwa anamaanishaa............!!!!

watoto wadogo chini ya mwaka mmoja na hata zaidi ila si zaidi ya miaka miwili huwa wana pozi fulani hiv ambapo nimejaribu watizama hawa wanne nikajiuliza kama hivi hawa malaika huelewa hizi pozi zao ambazo wanaonekana katika picha mbalimbali???


 sasa kama huyu mtoto(anaitwa Jaque) hili pozi ni la kutafakari jambo fulani hiv, si unauona huo mkono hapo kichwani, hata mkuu wetu wa nchi(JK) hufanya hivo pia, ebu mcheki hapa chini


..tofauti yao nayoiona kwa haraka ni kwamba Jaque kainua kichwa, wakati JK akiwa ameinamisha kichwa........ ni dhahiri JK anawaza jambo fulani zito hiviii, je huyu mtoto Jaque???


huyu mrembo anaitwa Jeny, unaona hilo pozi alilopiga hapo, si kwamba aliambiwa kuna picha, NOP.....sasa . mcheki bi' mdashi huyu  hapa chini ambae alikusudia kuweka pozi hilohilo

 ...umeona ehhhhh....


sasa hapa atakuwa anatamani kweli hiyo soda, je akipewa hapo atakunywaaaa, ........ na huyu je

 tofauti yake na Jaque ni kwamba huyu ni anawaza hiviiiiiiiiiii


Donnel ni kama anasema..., "hebu ongea... naksikiliza kwa umakini tuu, unasemajeeeee"


huyu nae anamsikiliza mtu kwa umakini kama Donny pale juu, tofauti yao ni kwamba huyu anaelewa kuwa anackiza ila Donnel anaelewa kweli jaman...ha ha ha ha

ukiangalia haraka utazan huyu cute bby gal(Angel) yupo kwenye modeling, au beauty pageant fulani ila walaaaaaa as if  anaelewa hiviiiii , .......hivi ana tofauti sana na huyu hapa chini,


na huyo ni Naomi Campbell, ..... tofauti yao mie niliiona ndogo sana aisee duhhh, 


waweza sema huyu bibie anafyonya (anasonya) ila ukweli ni kwamba sizan kama alimaanisha hilo wakati picha hii inachukuliwa......... na hilo hufanywa na wengii watu wazima mhhh 


......hureeeee, ni kama anashangilia ushindi fulani hiviiiii, sasa wazan atakuwa anamaanisha kama huyu hapa chin wazaniiii


...ushindi daimaa........hureeeee


..cheki dogo alivorembua jaman mhhhh hivi atakuwa alimaanisha ehhh???, na huyu nae alikumbwa na kamera akiwa amechoka na kujikuta anarembua hivi


bi'mdanga hapo alikuwa kachoka kama  alaf alikuwa kama anataka sinzia hivii, 


me & cwt Jaque......mwaaaaaaaaa

For sure babies are interesting n fun to be with all the time . Wana mengi zaidi ya hayo ambayo huyafanya, sasa najiulizaga huwa wanaelewa wanachofanya kama sisi watu wazima au huwa yawatokea tu automatic......... jaman nisaidieni kwa coment zenu

Monday, August 29, 2011

..bukoba trip.... fantastic trip

Bukoba mkoni Kagera, huendeka kwa njia zote za usafiri, yaani majini, angani na hata kwa nchi kavu. nlibahatika kwenda huko August mwanzoni mwaka huu kwa matembezi kama mtalii ndani ya nchi yangu tena ukizingatia napenda safari hivo hata sikusita kukubali pale niliposikia juu ya safari hii.

Hapo ndo safari ilikuwa yaanza yapata mida ya saa tatu, kutokea Mwanza ndani ya MV Victoria siku ya alhamisi tarehe 04/August 2011. Hivo pembeni ni vyumba vya first class, chumba kimoja wanalala watu wawili, pale nyuma kidogo kuna mlango wa kuelekea third class.


hapo ni sehemu tu ya mji huo kwa mbali kutokea highland moja wapo ambapo kuna gud view ya ziwa na mji kwa mbali aisee pale mahala ni pazur jaman adi raha, ebu endelea ona, other views.........


kisiwa kimoja wapo ndani ya ziwa victoria huko bukoba, kisiwa hiki wanaishi wavuvi kwa asilimia kubwa


hapo ni lake view mida ya jioni hiviiii


na hapo ni sehemu ya mji wa bukoba wakati wa jioni


hapa ilikuwa jumamosi asubuhi jaman, kutokana na vinywaji vya ijumaa ilikuwa ni wakati muafaka wa kupata supu, sasa yalotokea hapo jama ndo kama uonavyo hapo juu, kwa pale hiyo ni supu tena its  tshs 7000/= per bowl only jaman, bakuli 1 lina samaki mzima na ndizi, na la pili lina kuku nusu na viazi....... aisee nlichoka mhhhh...


sasa matembezi c ndo yakaanza, ni  katika baadhi ya vijiji kama mwenyeji wangu alivopanga, kijiji cha kwanza kilikuwa Ibosa, nikawa naonyesha  mazao maaruf ya mahal hapo. Kuanzi tu ni mkahawa na kahawa zake kama inavooneka hapo juu


kama kawada, ndizi c ndo fahari ya wahaya wapatikanao Bukoba, ebu cheki zilivonona mhhh....imagine zimepikwa...yumm yumm....


ushawahi ckia mto kagera jaman?, basi hiyo ni side moja wapo ya mto huo uliopo eneo liitwalo Kyaka, mto unapatikana njian on the way to Mutukula (mpaka wa Tanzania na Uganda) na vijiji vingine vipatikanavyo barabara hiyo


ushawahi sikia kanisa lililochomwa moto na nduli Iddi Amini likiwa na waumini siku ya jumapili wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda? basi ndo hilo hapo juu lapatikana Kyaka na  laitwa.... jina limenitoka kidogo, atakaekumbuka aandike jina basi wandugu


huu ni mnara wa mashujaa waliopigana vita vya Kagera, ni kilometa tano tu kabla ya kufika Mutukula(mpakani mwa Tanzania na Uganda)


na hayo ndo majina ya mashujaa 


na hapo ni kuelekea kijijini Gwanja, kuna mahali panaitwa Nyakijoga, inavodaiwa eneo hilo ilionekana sura ya mama bikira Maria ndani ya maji, na hado sasa sehemu hiyo ni tajkatifu na watu wengi kutoka sehemu mbalimbali  huenda kuhiji


"karibu bukoba mwanakwetu"
huwez amin mwenyeji wa nyumba hiyo ndo alinipa beseni lotee hilo la matunda niweze kula mhhh, parachichih nusu tu, kwisha habari yangu, lilikuwa tamu yummm....yummmm. alaf nlishiba adi aibu mhh...


nice view from far kama inavoonekana wakati natokea kijijini Kashasha kuelekea kijijini Gwanja


sa we upite barabara za vijiji vya bukoba alaf usikutane na mandhari haya.....ahhh itakuwa BK feki


lenye mwanzo lina mwisho mwenzangu, J3 ndo hiyo imefika, na mrembo Mv Victoria kwa mbaaaaaaliiii kule nyuma yangu amepaki akinisubiri mi na abiria wengine muda wa saa tatu usiku arud Mwanza. 


navuta pumzi  kidogo nikiwa nakula upepo wa beach ya Bukoba


bye bye Bukoba, it was nice accomodating me all gud 4 days, i had fun and enjoy a lot for real.


sasa wandugu tujaribu tembelea miji na mikoa mbalimbali ya nchi yetu pale tunapopata nafasi, kwani ts enjoyabo and very fantastic, lets try this japo once in a year, it helps a lot guys.........

Thursday, August 25, 2011

..event planner & organizers

Hizi ni kampuni au oganizesheni ambazo kazi zao kubwa ni kuwafanyia mipango jinsi  watu wanavyopenda sherehe zao ziwe kama vile wanavohitaji. sherehe hizi huwa ni aina zote kutegemea na hitaji la muhitaji.Kuanzia harusi, birthday, communion, send off, bag parties, anniversaries, get together, family day za makampuni na sherehe nyingine nyingi tu.
kupitia hizi party & event organizer, huwezesha saidia watu kupata kile wanakichohitaji kwa uwezo wao tena kwa uhakika na umaridadi zaid hata tukaifurahia siku ile. Aina ya sherehe unayoitaka, idadi ya watu, ukumbi, hadhi ya sherehe, na mengineyo mengi kulingana na mahitaji  ndo humfanya mhitaji wa huduma hii kupatiwa gharama za huduma hiyo na kulipia kwa kazi hiyo.


Kitu hiki kimekuwa kigeni miongoni mwetu kwani ni kitu kipya ambacho wengi miongoni mwetu hatukitumii kwa kuogopa gharama na vitu vingine kama hivyo huku tukiendelea tumia KAMATI, zile tulizoziona jana kupitia hapahapa. ukweli ni kwamba planners na organizers hawa husaidia mengi, kwanza na kubwa kabisa ni MUDA, haina haja ya wewe mhusika kuhangaika huku na kule, huku ukitumia GHARAMA nyingi na wakati mwingine isilete matokeo tuyatakayo na baadae tuanze laumiana tena kati yetu na hata kusababisha kuharibu jambo zima.


Watu hawa hufanya mengi sana ili kuweza fanikisha siku yako kuwa ya kipekee na muhimu kama vile ulivopenda wewe, kuanzia venue, entertainment, transport, saloon, catering service, na kwa wale wataaopenda kushauriwa au kuchaguliwa rangi gani kwa upade wa mavazi yatakayotumika siku hyo oganizesheni hizi huwezesha yote hayo.

me nadhani umefika muda sasa wanajamii wenzangu tutumie zaidi hizi event organizer, party organizer kwa ajili ya kuandaa sherehe zetu zote , kwani kama tunataka save
                            MUDA  na
                            GHARAMA  pia, hata
                            LAWAMA zisizo na msingi,


ifike wakati kamati zikae pembeni, watu waendelee na kazi za kujenga taifa wakati hawa event and party organizer wakiendelea kutuandalia sherehe zetu kama hivi.


 na mwisho wa siku tujumuike kwa kuweka shida chini kutupa mikono juu  na kushereheka kwa furaha pamoja kw staili hii....


hata hiiii pia si mbaya, haya kwa zile party a kiofisi hiviiii.......


na kivingine yaweza kuwa kwa mtindo huuuu.........


na nyingine nyingiiiiiiiiiiiiiiii..............

yap, kwa leo ni hayo tu jaman wanablog ya yeahh, me naomba sikia zaid toka kwako kutokana na hili swala la hizi event and party organisers

Wednesday, August 24, 2011

vikao vya sherehe

vikao vya sherehe hutokea pale ambapo kuna sherehe fulani tunaitarajia kufanyika muda fulani baadae, yaweza kuwa kikao cha harusi, send off, kitchen party, vipaimara, birthdays, uadhimishwaji wa miaka kadhaa ya ndoa (anivessaries) na sherehe nyingine nyingi tu miongoni mwa jamii zetu.

vikao hivi hujengwa na wanakamati ambao huusisha ndugu, jamaa wa karibu na marafiki zetu ambao tunawaamin wataweza fanikisha sherehe zetu kupitia vikao hivi. Michango hukusanywa, kutoka kwa wale wasio wanakamati lakin pia ni wajumuikaji nasi pia katika sherehe hizi. Pia wengine huamua kutumia kamati zijulikanazo mijini tu kuweza kaa na kupangilia sherehe hizo (imekuwa kama biashara sasa)
Sasa vikao hivi vimeibua mengi miaka ya karibuni, kwan wana kamati wamekuwa na tabia ya kugeuza mitaji kwa manufaayao binafsi  kiasi cha michango ile inayokusanywa  hata kusababisha sherehe kutokuwa vile kama tunavopenda iwe nzuri. Wengi yamewakuta haya lakin wanaishia lalamika tu badala ya kuwasaidia wenzao wanaofuata wenye sherehe kama  hizo za kwao

wakati wa vikao hivi huwa kuna tabia ya  kupata vinywaji kidogo walau kuweka makoo sawa, sasa kuna wanakamati wengine hapa ndo huwa wanaona mahali pa kupata unywaji utafikiri hakuna kesho tena mbaya zaidi kwa kutumia pesa zilezile za mchango, hii si sawa jaman, tena wala si haki jaman. kama ni kurekebisha makoo na vinywaji, walau iwe kidogo na c iwe fujo basi

Tunawashukuru sana wanakamati wetu kwa kazi zenu ila ombi langu kwako wewe mwana'blog na mwanajamii yetu hii, tafadhali tufanye yale haswa yahusuyo kamati za sherehe tunazoombwa na ndugu au marafiki zetu waliotuamini kwa hilo. Ebu tuyaepuke yafuatayo na mengineyo tafadhali:
 - matumizi mabaya ya michango
 - unywaji wa pombe kupita kiasi 
  
  lakini je kuna umuhimu wa kuwa na hizi kamati wakati wa sherehe zetu???


natumai mwana"blog una ya ku'share nasi hapa, wala usisite jaman, ebu tuhabarishe jaman maana natumai umewahi sikia na hata kufikwa na yanayofanywa na hawa wanakamati wetu wa hizi sherehe zetu.................................................karibu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...