welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, August 23, 2011

..big days n celebrations..

hivi big days na celebration maana yake  ni nin hasa?


 ..jambo la kwanza mambo haya mawili huendana, through au kupitia big days ndo huko tunaweza waza kuwa na celebration (maadhimisho) ya kufurahia hiyo big days.

 big days, ni zile siku ambazo huwa (special) muhimu na kubwa maishani mwetu zikiwa na nia ya kuazimisha au kusheherekea jambo fulani au mafanikio na hata kuamua furahia pamoja na wenzetu wasio na uwezo kimaisha(yatima, walemavu na wengineo pia).


Hutimia kuwa "big day" baada ya kujumuika na ndugu jamaa na marafiki na kusheherekea pamoja siku na tukio hilo. Siku hizi huwa ni muhimu na maalum kwetu sote, pia ni muhimu kuziadhimisha siku hizi na kuweka kumbukumbu ndani ya maisha yetu. "Big days" katika maisha, zaweza kuwa harusi, send off, kitchen party, barchelor party, birthdays, communion, comfirmation, graduations, na nyingine nyingi sana. pia kuna big days za kifamilia, makampuni na oganizesheni pia. Hakika big days ni muhimu maishan kwetu kutokana na umuhimu wake kwetu.


Kupitia big days watu hukutana, kujuana, urafiki hutengenezwa baina ya watu waliojumuika mahala  pale, kubadilishana mawazo mbalimbali kama kazi na biashara pia. Mahusiano halikadhalika pia hutengenezwa kupitia hizi " big days". Hakika hizo nizozitaja na nyingine nyingi ni miongoni mwa umuhimu wa "big days".
 Big day can mean happy day, enjoyable day, celebration day, important day, successful day and many more as you can manage and be able to mean it


 Kwa kifupi hayo na mengine mengi tokea kwako yatawezesha kujua maana zaid ya big day kwetu.................karibu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...