welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, August 30, 2011

hivi hapa ni huwa anamaanishaa............!!!!

watoto wadogo chini ya mwaka mmoja na hata zaidi ila si zaidi ya miaka miwili huwa wana pozi fulani hiv ambapo nimejaribu watizama hawa wanne nikajiuliza kama hivi hawa malaika huelewa hizi pozi zao ambazo wanaonekana katika picha mbalimbali???


 sasa kama huyu mtoto(anaitwa Jaque) hili pozi ni la kutafakari jambo fulani hiv, si unauona huo mkono hapo kichwani, hata mkuu wetu wa nchi(JK) hufanya hivo pia, ebu mcheki hapa chini


..tofauti yao nayoiona kwa haraka ni kwamba Jaque kainua kichwa, wakati JK akiwa ameinamisha kichwa........ ni dhahiri JK anawaza jambo fulani zito hiviii, je huyu mtoto Jaque???


huyu mrembo anaitwa Jeny, unaona hilo pozi alilopiga hapo, si kwamba aliambiwa kuna picha, NOP.....sasa . mcheki bi' mdashi huyu  hapa chini ambae alikusudia kuweka pozi hilohilo

 ...umeona ehhhhh....


sasa hapa atakuwa anatamani kweli hiyo soda, je akipewa hapo atakunywaaaa, ........ na huyu je

 tofauti yake na Jaque ni kwamba huyu ni anawaza hiviiiiiiiiiii


Donnel ni kama anasema..., "hebu ongea... naksikiliza kwa umakini tuu, unasemajeeeee"


huyu nae anamsikiliza mtu kwa umakini kama Donny pale juu, tofauti yao ni kwamba huyu anaelewa kuwa anackiza ila Donnel anaelewa kweli jaman...ha ha ha ha

ukiangalia haraka utazan huyu cute bby gal(Angel) yupo kwenye modeling, au beauty pageant fulani ila walaaaaaa as if  anaelewa hiviiiii , .......hivi ana tofauti sana na huyu hapa chini,


na huyo ni Naomi Campbell, ..... tofauti yao mie niliiona ndogo sana aisee duhhh, 


waweza sema huyu bibie anafyonya (anasonya) ila ukweli ni kwamba sizan kama alimaanisha hilo wakati picha hii inachukuliwa......... na hilo hufanywa na wengii watu wazima mhhh 


......hureeeee, ni kama anashangilia ushindi fulani hiviiiii, sasa wazan atakuwa anamaanisha kama huyu hapa chin wazaniiii


...ushindi daimaa........hureeeee


..cheki dogo alivorembua jaman mhhhh hivi atakuwa alimaanisha ehhh???, na huyu nae alikumbwa na kamera akiwa amechoka na kujikuta anarembua hivi


bi'mdanga hapo alikuwa kachoka kama  alaf alikuwa kama anataka sinzia hivii, 


me & cwt Jaque......mwaaaaaaaaa

For sure babies are interesting n fun to be with all the time . Wana mengi zaidi ya hayo ambayo huyafanya, sasa najiulizaga huwa wanaelewa wanachofanya kama sisi watu wazima au huwa yawatokea tu automatic......... jaman nisaidieni kwa coment zenu

1 comment:

  1. hapo na bado tunaelekea kwenye sherehe hutoamini wafanyavyo kuwa makini na utafurahia ht hivyo mtt ni mwanzo wa ukubwa kwa hiyo tunatakiwa kuwaonyesha mifano yenye maadili yanayolingana na maadili adilifu.
    endelea ni kazi nzuri ufanyayo cnt wait for idd celebrations next time i visit ur site hv fun

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...