welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Thursday, September 15, 2011

huko studio kunakuwaga hiviiiiii.......

Hapa naiongelea studio ya redio kubwa na inayotambulika Tanzania, Afrika mashariki na hata Africa ya kati pia. Nlibahatika kuwa mshiriki katika vipindi kama viwli mnamo jana nyakati za  jioni katika studio za Redio Free Africa (RFA) zilizopo mjini Mwanza Tanzania. Kipindi kimoja wapo kilikuwa ni Mambo mambo na RFA kinachoanza saa kumi hadi saa kumi mna mbili jioni. Na waendesha kipindi nilikutana nao walikuwa ni Jumaa Ahmed Baragaza ambaye ndo muongozaji mkuu na bibie Husna Mlanzi ambae ni mtangazaji mwenza katika kipindi hicho.


 Jumaa Ahmed Baragaza ndo huyo hapo,


  na huyo ndo bibie Husna Mlanzi

Kipindi hiki cha mambo mambo huwa ni  cha majadiliano ya mada mbali mbali kutegemea na waandaji wa kipindi hicho. Vijistory na vichekesho mbalimbali pia huwepo. Wasikilizaji pia huchangia mada zao kwa simu na hata ujumbe mfupi wa maandishi.


 na ha po ni katika majadiliano hayo kati yao.

Na muziki huwa haukosekanagi jaman ehhhh...........
 hapo ni miziki ya kuitumia,/kuipiga kwenye kipindi hicho ndo yatafutwa, kama hapo ulichaguliwa Dushelele wa Ali Kiba, Starehe Gharama wa Tunda Man, ule mpya mpya wa ki'nigeria unaitwaaaa....ahhh nimeusahau jina mwaya mhhhh


aliekwambia studio hawachezi mziki nani, ahhhhh kitu kikinoga wala hakuna kzuga ni wayarudiiiiiii tani yako..........ale dushelele dushelele  dushele waego ooooo, sijiu ndo hivo, nilim'fotoa huyo bi dada akiyarud kama hivo.


wala sikuwa nyuma katika swala zima la kujifanya nafanya kipindi, but siku moja nitafanya tu......its the matter of time pipo

..... dats all jaman

1 comment:

  1. Blog iko poa tu!! so hongera sana na go a head!
    victormachota.blogspot.com your welcome!!!!

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...