kuchat huku kunaweza kuwa kutumia simu
hata facebook
na mitandao mingine ya kijamii kama twitter,linked in.tagged, na mingine mingi ijulikanayo.
Sasa ugonjwa huu ulivyo m'baya jaman huwa'attack watu wakiwa sehemu mbalimbali ambapo inakuwa kero na hata si tabia nzuri kwan unaweza kuta inapunguza ufanisi fulani wa kutenda jambo ambalo ni muhimu kufanyika muda ule, kama kazi, maongezi muhimu na hata katika mapenzi pia.
wengine wakiwa ofisini huacha kazi na kucheki facebook chat na akiendelea chat kama hivi
kwa mbali pale si unaona jaman, huyu dada anachat na kile ki'box cha mtu anaechat nae hapo, si mnakiona....
cheki na hao wadada hapo ofisini wanachek na kuchat pia
hadi watoto wakiwa majumbani wakikamata simu za wazazi tu basi hujifunza kuchat pia kama hivi
na huyu mwanadada ameacha kazi kwenye compyuta hapa na akiwa busy na kibofya chake jaman ehhh
ebu mtazame huyo mwanadada jaman ehhhh....
na huyo anatembea lakini macho yote kwenye simu anachat, ikatokea ameanguka hapo ghafla....ehhh
mgonjwa nae akiwa busy charting, na yawezekana muda huo aliambiwa pumzika urudishe afya yako mapema
na hao pia wakiwa wanachat, yaani lile gonjwa la chartingholic lazid endelea tu
.hao nao barabarani, tena wakiwa na simu 1, haya wakapitiwa na gari hapo na kugongwa itakuwaje???
huyo nae anaongeleshwa na mtu anayehitaji huduma hapo ofisini kwake lakin anamsikiza kama masihala hivi wakati akiendelea chat na simu yake
kuna wengine huwa busy na simu kuchati wakati wametoka outing na marafiki zao na wapenzi wao, wakati mwingine huwa ni first dates wakati mwingine anaongea, wakuta mwingine anaendelea chat, jaman hii tabia inakera, inaboa, ina'annoy na ni tabia chafu sana. Ebu tuacheni tabia hii jaman, na tuchati pale tu katika mazingira na wakati muafaka ili isikere wenzetu.
take a note and be careful for your safety
ahhh!chatting ni sumu km risasi isiyoweza tolewa ktk mwili na bado ukaishi hs ninyi vijana.ni dhuluma ya maisha yenu kwani mlio wengi ht chakula mwala cha baridi,ss mtakumbuka kutoa huduma ipasavyo?pigia kelele na angalia jinsi ya kushauri sumu iondoleweje imefika ht adhabu hazistui tena ,wanafunzi ndio kabisa!!!!!!!!!! na viwango kushuka ni wimbo hlf wazazi tunawanunulia cm.asante kwa kuliona hili na kulitamka KEMEA ili sumu iyeyuke hiyo.pole na majukumu na kaza buti na ufike kileleni sawa na hao waanzilishi
ReplyDelete