Tujitoe Watanzania na hata wasio watanzania, ni mwenzetu, ndugu yetu na mpendwa wetu SAJUKI, Mungu atakujazi pale utakapotoa kwa ajili ya kumsaidia sajuki jaman, Mungu akubariki mpendwa. Unapomsaidia muhitaji ni kama vile unamkopesha MUNGU ili na yeye akujibu maombi na kukupa mahitaji yako yote. mbarikiwe.
No comments:
Post a Comment