welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Friday, September 9, 2011

urudiaji wa nguo hasa kwa wanaume

mhh jambo hili mimi binafsi yangu linanikera kweli, hivi inakuwaje mtu anavaa vazi moja frequently from monday to friday, halafu afanyae hivo ni mtu mzima mwenye akili zake timamu kabisaaa tena na cheo kikubwa tu anacho mahala anapofanyia kazi. hivi ianakuwaje jaman, wawezaje??



Tena hayo mashati ndo huwa balaa kabisa kwan huonekana makwapani, mwishoni mwa mikono na mifukoni ndo huwaumbua adi basi, sasa mbaya zaidi ukute shati lina rangi nyeupe, kijivu au rangi zakuonekana uchafu.



Hatukatai kurudia nguo pale ukivaa lakin weka pozi au gap hata la siku moja baada ya kuvaa nguo hiyo. Unaweza kuta mwanaume anavaa shati hilohilo moja monday, tuesday hadi friday, hivi hilo jasho linalokutoka siku ya jumatatu wazan jasho hilo likiendelea had ijumaa wenzako wanaokuzunguka si unawapa kero jaman haaaa.


Tafadhali mpendwa ebu jirekebishe na uwe mtanashati hata kama una mashati mawili, vaa moja j3, jengine vaa j4 wakati la j3 ndo linakauka kambani.




Jamani akina dada, akina mama huko majumbani ebu tuwe chachu katika hili kwa sababu sie ndo twaaibika kupitia viumbe hawa (wanaume). Kama anazingua we akirudi kazini au mihangaiko yake loweka lile shati uone ka atarudia tena na kesho. 

hata we mwanakaka, mwanababa, ebu basi jijali kwanza na uwe msikivu, u'smart si adi usikie kuna tuzo  jaman ehhh, kuwa mtanashati tafadhali.



  Tuwe samart pamoja jaman yaani wake kwa waume ili tuwe maridadi siku zote


 kwa wake


 na hata waume pia, 


   just be simple and very smart, its very important even for your health


umaridadi ni kwa wote, wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee, wake kwa waume, wakubwa na hata wadogo


take a note and make changes from now, its serious and sensitive

2 comments:

  1. shosti bora umetukumbusha maaana mmmmh ...kwanza NASHANGAZIKA MIE sijui hiyo nguo haimnukii...tubadilike jamani uchafu sio mzuri

    ReplyDelete
  2. weee!umegusa penyee pa mfaranyaki maana wako ambao akijua utaloweka ataficha kama vile anafua yy anakuambia zitaisha upesi bado pasi ndo kbs tenesiko garama kubwa maana ni wachumi zaidi kuliko afya na muingiliano wa jamii.watu hawawezi kukuuliza mm,lkn wanaona ni uzembe wa mke kumbe ni kutifautiana kwa mawazo we acha tu walio nje watamani kuingia kwenye ndoa wakati waliomo wanatafuta pa kutokea mambo ya kudanganyana wakati wa mwanzo wa kukutana pande zote mbili.ht hivyo asante kwa ujumbe murua wasome wengi wasambaze ufike kwa walengwa

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...