welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Friday, September 2, 2011

weeding anniversaries, meaning, colours and gifts

hizi ni zile siku zinasherehekewa na wanandoa kuadhimisha miaka kadhaa waliyoitimiza ndani  ya ndoa yao. Huwa ni muhimu kuziadhimisha na niaminivyo huwa inasaidia ongeza mapenzi na maisha ya ndoa kwa ujumla. Kwa leo naanza na mwaka wa kwanza, wa pili  na  baadae nitaendelea na miaka mingine.

1st Year Weeding Anniversary:

maadhimisho:
  katika siku hii wanandoa hawa ni vizuri wakaenda kwa chakula cha usiku (plan for a dinner at a special restaurant) , au hata nyumbani hapo hapo mnaweza pika chakula kitamu (delicious meal) and enjoy the great time and happily together.



 kama nlivyosema hapo mwanzo yaweza kuwa kwenye special restaurant as a special dinner, au


yaweza kuwa nyumbani kama hivo, la muhimu ni kuweka special and enjoyable.

Rangi:
Rangi ambayo hutawala siku hii ni GOLD au YELLOW, au waeza changanya zote kama zinavoonekana hapa chini


 rangi hizo hupendeza zikipambwa vizuri, kwenye meza mtakayoitumia kwa kula, au hata chumbani mtakapolala siku hiyo, na wala haitakuwa vibaya walau kuvaa vazi au kutupia kitu cha rangi kati ya hizo (gold or yellow) katika kiwalo cha siku hiyo kuanzia asubuhi.

Maua
Na kwa upande wa maua ya kutawala siku hiyo ni orange blossom or pansy 


ila lisiwe feki bwana, natural ndo mambo yote, tena humaanisha mengi, la muhimu zaidi ni uhai wa ndoa yenu na maisha marefu katika ndoa hiyo.

zawadi :
hapa sasa ndo exsiting moment nahis, tena zawdi ya 1st year marriage anniversary me ndo kitu nakipenda...... si kingine ni     SAA (watch)


  huo ni mfano ambao mwanadada anatakiwa mnunulia bwana shemeji (mr wako) na pia....


na wewe bwana kaka huo ni mfano wa saa ya kumnunulia bi'mdada (mrs wako)

zawadi hizi zaweza tolewa mwanzoni mwa celebration yenu au mwishoni pia, halaf nionavyo mimi itapendeza celebration hii ikiwa just for you two yaani MR & MRS


  Pia mwaka huu hujulikana kama "YEAR OF ADJUSTIMENT"


2nd year weeding anniversary :

Siku hii ni muhimu kwenu wanandoa na mnahitaji hongera hata kwa kufika hapo. Katika siku hii mnaweza adhimisha kwa njia mbalimbali, ila kwa mwaka huu ni muhimu kukaa na kuangalia movie pamoja yaweza kuwa kwenye movie theater au hata hapo nyumbani kwenu. mnaweza weka movie yenu ya harusi au nyingine yoyote interesting.



 kwa nyumbani yakuwa kihivo, na yaweza kuwa....


kwenye movie theater kama hao wapendanao hapo juu.

Rangi:
 rangi ya siku hii ya leo ni RED


rangi hiyo isitumike nyingi katika kuitumia  kwani ikizid haipendezi, waweza vaa vazi, au ukachombeza katika mavazi yako na kitu cha rangi hiyo kuonyesha maadhimisho haya kuanzia siku inapoanza.

maua ya siku
  na ua / maua ya kutawala siku ya leo ni aina ya COSMOS, nalo ni kama hili hapa:


sasa hilo ua likiwa fresh, aisee itapendeza sana jaman

zawadi za siku hii:
 me binafsi yangu navopenda zawadi, basi kipengele hiki nakipenda jaman mhhh, na zawadi ya mwaka wa pili, kwanza zawadi hizi zihusishwe zaidi  na cotton material, yweza kuwa handkerchef, tshrt, gloves, pillows, towels, bathrobes, na nyingine nyingi tu, alimradi tu zihusishwe na cotton.

hiyo yaweza kuwa kwa shemeji, na hata wifi pia.


na hiyo ndo bathrobe sasa


hata pillows, hunogesha na kupamba siku kwa upande wa zaidi

nimesisitiza kuhusu zawadi zihusishwe na cotton zaidi kwa sababu, cotton as material is both durable and versatile, all these are important qualities in a succesful mariage. cotton has also been known as symbol of great prosperity, ikamaanisha kuwa cotton yajulikana kama ni alama ya mafanikio makubwa kati yenu (MR & MRS)

La muhimu zawadi ziwe good, nice, attractive na hata sexy pia ili iwe raha hata kumpatia mwenzi jaman.


have fun and make the most of your love and weeding life. Enjoy and have fun pipozz


                                                                                     to be continue....

1 comment:

  1. mh!we mtt ndume za kibongo ziyafanye hayo,baraka ya kuendekeza neno uchumi na kuendeleza vijumba ndogo,ht umshirikishe kwa kuandaa ww hilo tedo bado muda utagawanya na kakibanda kake kiisha anakuongezea orodha ya wtt kabla hata hawajatembea.jitahidi kutukumbusha kinadharia asante.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...