welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, September 6, 2011

wedding annivessary continues......

3rd weeding anniversary

this always happen when a couple is aware of their durability of their relationship, and that is why leather is  the main gift for this celebration.



first of all congratulations for the couple untill this year. katika siku hii wanandoa (couple) wanaweza amua fanya mambo mbalimbali ilihali kufurahishana katika maadhimisho haya. Mnaweza panga kuwa na weekend special na kuenda tembelea mahali kama mapumziko, yaweza kuwa ni sehemu ya kihistoria au ufukwe wa bahari au ziwa (beach)


pia mnaweza kuamua kuitumia siku hiyo kwa matembezi kati yenu, either kwa miguu, gari, au hata baiskeli


 na mwisho wa siku mkaimalizia siku hii either movie thieter


na hata kumalizia kwa kula chakula cha pamoja usiku huo as dinner, yaweza kuwa pale nyumbani kwenu mnapoishi na hata kuamua enda kwenye restaurant au hoteli nzuri yenye utulivu na ku'enjoy pamoja

Rangi


rangi ya mwaka huu wa maadhimisho ni white or jade green


kama inavojidhihirisha hapo juu, hiyo ndo jade green na kwa mbali c mnaona vimaua vyeupe, basi ndo rangi aa mwaka wa 3 wa wedding anniversary ambazo zaweza pambwa ndani ya nyumaba tena specially chumbani kwenu au hata mavazi yenu yakanakshiwa au kutawaliwa na rangi hizi mbili.

maua

fuchsia is the flower which means taste

fuchsia flower

zawadi
zawadi za siku hii zitawaliwe zaidi na Leather na Crystals, yaweza kuwa:


nice leather jacket can be given as a gift for him by her




and that can be for her by him, au hata;


au hata hizo glass kweny nyote na mkatumia kunywea wine very specialy kwa siku hiyo ya 3rd anniversary.


4th year weeding anniversary

waweza sherehekea siku hii kwa aina yoyote ile as long celebration iwe comfortable and enjoyable kwenu wote wawili,,

rangi
blue au green, na kama vipi ni zote tu waweza zitumia as long as zisiwe too much au zisirembwe vizuri.

can be mixed like that or can be taken separately, in what ever way you like it only has to be attractive for you both.

maua
ua linalohusika katika upamabaji wa siku hii zaidi yaani  ua la mwaka huu wa nne ni GERANIUM 


such a beautiful flower.....mwaaaa

zawadi

the main gift and appropriate gift for this year is FLOWER, flowers are appropriate and meningful gift for this anniversary. With floers it presents the blossoming of the partnership of couple in their fourth year of weeding.


maua haya yanaweza wekwa kwenye chombo ambacho itakuwa rahisi kuliweka mahali arround mnapoishi na kulitunza vema na lizidi kuwa kumbukumbu kati yenu hata hapo baadae.





5th year weeding anniversary


five years, woooouww,  jambo kubwa kla kifanya mwaka huu kwenu wanandoa ni upandaji wa mti ambao utakuwa kumbukumbu ya miaka hiyo ya ndoa kwenu. Mti huu waweza pandwa nyuma au mbele ya nyumba, kanisani au msikitini, shule au popote ambapo mtaweza kuutunza na kuwa kumbukumbu kwenu.




umeona ehhh, kama hao hapo wanavofanya

rangi
kwa mwaka huu rangi nyingi zahusika hapa na zaweza tumika pia, pink, blue, turquoise. kama kawaida zaweza kuwa mavazi ya siku yakiwa na rangi hizo, au nakshi tu katika mavazi, bila kusahau nyumbani kuwepo na nakshi zenye rangi hizo

 hiyo ni blue


na pink ikawa hivo, pia waweza zichanganya zote kwa pamoja vizuri tu.

maua
ua maalum kwa siku hii ni DAISY


hilo ndo ua la daisy, ambalo latakiwa tumika kama pambo la siku hiyo kwa mwaka huo wa 5 wa maadhimisho ya ndoa yenu.


zawadi
wood and silverware are the main material to be involved in any gift to be purchased in this particular day. wood can mean or represent  strength and solidified relationship between you two. Wood is strong and  long lasting. And silverware represents connectedness between two of you as you share meals with each other and your childern




zawadi yeyote ihusikanayo na wooden material is appropriate, kama hiyo frame hapo juu ni nzuri na ya kuvutia ambayo yaweza tumika kuwekea picha yenu couple au family picha yaani na watoto pamoja, nina imani itapendeza sana




mfano mmoja wapo wa siverware ambazo mtazitumia kwa kulia chakula tokea siku hiyo hadi milele daima.


NB: jaman wandugu siku hizi za maadhimisho ya ndoa ndani ya maisha yetu ni muhimu kuziadhimisha kwani zina umuhimu  sana na si vyema kuzipuuzia kwa sababu zinaongeza kitu fulani ndani ya nafsi zetu juu ya ndoa hizo. Tusitoe kisingizio cha u'bize kwani kamwe hauishii.






    good luck for you all

1 comment:

  1. asante kwa kutujuza ya ughaibuni.ingawa siwajibii wote lkn kibantu hayo ni adimu kinachotawala zaidi ni ngumi na taraka ht siku yenyewe haikumbukwi hd wapambe na marafiki wakikusalimieni.ht hivyo ni vizuri kuiga mazuri tujitahidi wamatumbi!!.km hicho kimombo tutakijuaje cha kufanya km wao?
    asante

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...