mfano wa ndege ndogo iliyoanguka huko uyole mbeya
kulikuwa na abiria wapatao watatu ambao ni watanzania na rubani ambae ni M'South Africaakiwa wa nne,, kwa maelezo ya rubani ni kwamba mara baada ya kupaa rubani aligundua injini moja ikiwa na hitilafu na baada ya kushindwa rekebisha akaamua tafuta mahala salama pa kutua ili aweze epuka hasara na maafa makubwa zaidi. Ndipo akafanikiwa tua uwanja wa nane nane Uyole Mbeya.
watu wote waliokuwepo ndani ya ndege hiyo ndogo wako salama salimini japokuwa ni vioo tu kidogo ndo vimepasuka, na pia ndege hiyo haikulipuka.
No comments:
Post a Comment