welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, October 24, 2011

ndio maana inaitwa Rock city ehhhhh.......!!!!!

yaaani ni full mawe, mwanzo mwisho ehhhhh, ebu shudieni japo kwa uchache tu

ebu cheki sasa



haya kama ya kawaida hiviiiiiii


mengine yapo kwenye maji jamani, mmmhhhhh, ni patamu  nyie  acheni tu




sasa sehemu kama hiyo ikiwa along the river ndo dagaa wanaanikwa huko na wakitoka hapo wanakuwa poa mbayaaaaaaaaaaaa., yaani deliciousssss


sasa kama hayo yalivokaa poa hpo mwanzon mwa Ziwa huko Capri point



si umeona ehhhh......


nami c nabahatikaga endaga huko kwenye hayo maraha ya kuona hayo mawe huko bana, nam huwa na'enjoy mhhhhhh

                                  karibuni  MWANZA  

1 comment:

  1. Wakati umewadia wa kuvisit sasa,naomba nizikute hizo rocks wana jiji maana naelezwa mwazitumia kujengea viota vyenu.lakini mwavisahau vizazi vijavyo tafadhalini ziacheni hizo rocks ninyi pia msingeziona endapo waliotangulia wangezitenda mtendayo leo.tena mwakaribisha majanga kwa kurekebisha kazi ya Muumba ole wenu.This one is best baby keep it up though you are crawling we need more and speedy to keep us warm

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...