Kim K, to be in upcoming movie of Tyler Perry goes by the name of THE MARRIAGE COUNSELOR
will Kim K fits in this movie???
katika movie hiyo, bi' dada atatumia jina la Ava na ataigiza kama co-worker wa Marriage Counselor, goes by the name Judith(Jurnee Smollet). Movie hiyo itaanza fanyiwa production Atlanta Marekani on 26th October 2011 ikiwa inaongozwa na ye mwenyewe Tyler Perry.
haya sasa wapenzi wa movie hasa za black american and especially zilizotungwa na kuongozwa na mwenyewe mtaalamu Tyler Perry tusubiri tuone nin atafanya nin katika movie hiyo.
Movie hii itakuwa released 2012, naisubiriaje kwa hamuuuu, mhhh, tukae mkao wa kula jamen wapenzii
mmmmmmh naomba Madea awepo..loooooh
ReplyDelete