welcome note


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Thursday, December 15, 2011

....do yo know???

leo ngoja kidogo nifunguke about my self ehhh,  yaani nataka niandike about mambo yanihusuyo mim walau friends wangu wa mbali na hata wadau pia wanijueeeeee......... sieti ehhhhh. sasa kwa leo naanza na vile vitu vyanipaga mzuka hata tu nikiviona dukani, na ndo nimekipenda zaidi...mamaaaaa natahangaikajeee, adi nikipate mwenzangu, vitu vyenyewe

likes.....
shoes....
 shoes...tena nice and unique shoes mhhh, me huwa zinani'kill adi naogopaga dahhhhhhh, yaani kuanzia.....


high heels ka hizo za kufunika  wote hiviii........


vimitoko huusika kwa aina ya viatu ka hivo nakwambia, at times si lazima kufunika miguu atiiii


jaman si kila muda miguu iwe juu ehhh...KT (kanyaga Twende) kwa kuzurulia weeeee, inanogajee, safari zaongezeka tuuuuuuu


aahhh, kiofisi zaidi ka hivo mwayaaa.

..........Saa
hapa mdo ugonjwa wangu mwingine ehh, navozipenda saa adi mhhhhhhhhh

kama hiyo ilivo simple


hiyo colour ilivo tamu, alaf na yenyewe ilivo mhhhhh, me sick



kama we mjanja, utakuwa umegundua ni saa za aina gan na zenye vitu gan ndo nazipenda vaa, waweza nambia what is common in all three watches???

clothing,
 yaani napenda vaa simple, unique but mwaaa. mainly short & long dresses, skirts and pants (trousers) at times.

short skirts are my favourite


long dresses pia nazipendaga


 pants  used to be my lovely, since this year imeanza things zikabadilika and now navaaga rarely sana.

handbags



mhhhhh....ngoja n'pite tu
.....hapa chacha....iiiiiiii, roho adi yaumaaaaaa


....ki'wikiend na ki'jion jion hivi, afu pata picha ni kimtoko cha vinywaji tu......mweee, raha tupu 


na nyingine  kibaoooooooooooooo

basi jaman hivo ndo kwa upande wangu mie, yaani hata vikawa kwa duka vyauzwa afu napita hapo pembeni yake, mi macho hunitoka, na sharti nikaulizie walau bei, au niguse yaani vurugu mechi tu, nitoke hapo sasa na plan kibao s if nishanunua mhhh, ni balaa atiii.

...more to come about me, just stay tuned here........xoxo


NB: kama na wewe wapenda tujue vitu unavovipenda kama nlivofanya mie, ahhh usisite kutuma picha na maelezo yako kupitia feieve77@gmail.com, ntaziiweka hapa very fast na kiroho safiiiii tuuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...