Hapa kuna wapya waliopandishwa cheo, kuna waliohamishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Uteuzi huu umefanywa na mkuu wa nchi yetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete
wakuu wa mikoa wapya 15 walioteuliwa ni hawa hapa na mikoa wanayokwenda:
Eng. Ernest Welle Ndikillo - Mwanza
Bw. Magesa Stanslaus Mulongo -Arusha
Bw. Leonidas.T. Gama- Kilimanjaro
Bi. Chiku.S. Gallawa- Tanga
Dk. Rehema Nchimbi - Dodoma
Bw. Elaston Mbwillo - Manyara
Kanali Fabian Massawe - Kagera
Bi. Fatma Abubakari Mwassa - Tabora
Bw. John Gabriel Tupa - Mara
Eng. Stella Manyanya - Rukwa
Bi. Mwantumu Mahiza -Pwani
Bw. Joel Nkya Bendera - Morogoro
Bw. Ludovick Mwananzila - Shinyanga
Bw. Ali Nassoro Rufunga - Lindi
Bw. Said Thabit Mwambungu - Ruvuma.
Waliobadilishwa mikoa ni wafuatao:
Bw. Abbas Kandoro - Mbeya
Bw. Said Mecki Sadiki - Dar-es-salaam
Lt. Kanali Isaa Machibya - Kigoma
Bi. Christine Ishengoma - Iringa
Kanali Joseph Simbakalia - Mtwara.
Waliobaki mikoa ile ile ni wafuatao:
Dk. Parseko Ole Kone - Singida.
Waliostaafu ni hawa hapa:
Bw. Mohamed Babu, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kagera
Bw. Isdori Shirima, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha
Kanali mstaaf Anatory Tarimo, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mtwara
Bw. John Mwakipesile, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya
Kanali Enos Mfuru aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Mara
Brig. Jen. Dk. Johanes Balele, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga
Meja Jen. Mst. Said. S. Kalembo, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tanga.
Na waliostaaf lakini watapangiwa vituo vingine vya kazi hapo baadae ni kama wafuatao:
Bi. Amina Mrisho, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Pwani.
Dk. James Msekela , aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma.
Bw, Abeid Mwinyimussa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora.
Bw.Daniel Ole Njoolay, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa.
Wakuu wa mikoa hao wapya wa mikoa wataapishwa hapo kesho tarehe 16 Septemba 2011 saa 4.00 asubuhi kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar-es-salaam.
Ahsante kwa wakuu wote waliostaafu na shukrani kwa mchango wa maendeleo mikoani kwetu. Na
Kila la heri wakuu wote wa mikoa, na tunaomba mkaitumikie mikoa yenu kwa haki na usawa huku mkiwezesha maendeleo katika mikoa hiyo. Tunategemea na kusubiri mengi kutoka kwenu.